作詞 : Salmin Ismail Hoza
作曲 : Salmin Ismail Hoza
KUSAH - HUBA
Verse 1
Jamani huba limekolea moto
La nichoma vibaya
Lataka muda niliwazue vyema
Nisifike pabaya
Naganda ruba kanikwatua moyo
Kanishika pabaya
Na Nina muda sijawahi ona
Penzi Kama lake
Ananifanya ka mtoto
Yani binua binua mpaka kwenye ndoto
Anang’ataga na Mito
Walahy mimi wake Sinyorito
(Uyeee aaah aaah )
Limekolea moto limekolea moto
Limekolea moto iyooo
Mapenzi sikitoto mapenzi si kitoto
Mapenzi si kitotooo
Chorus
Usije basi ukaniacha solo
(Mapenzi nayajua aaaah)
Mwenzio mimi wataniona kolo
(Wanisema nitaumia)
Usije basi ukaniacha solo
(Presha itasumbua mama uuyee aah)
Mwenzio mimi wataniona kolo
(Mmhyeeiee mmhyeeie)
Verse 2
Labda kuna ndumba aah sio bure
Au unanikoroga
Moyo unanidunda dunda
Aah sio bure au unanikoroga
Nawaza labda sijiwezi labda
Au labda ni mapenzi labda
Nawaza labda nikizizi labda
Au labda umenigangia dawa
Ananifanya ka mtoto
Yani binua binua mpaka kwenye ndoto
Anang’ataga na Mito
Walahy mimi wake Sinyorito
(Uyeee aaah aaah )
Limekolea moto limekolea moto
Limekolea moto iyooo
Mapenzi sikitoto mapenzi si kitoto
Mapenzi si kitotooo
Chorus
Usije basi ukaniacha solo
(Mapenzi nayajua aaaah)
Mwenzio mimi wataniona kolo
(Wanisema nitaumia)
Usije basi ukaniacha solo
(Presha itasumbua mama uuyee aah)
Mwenzio mimi wataniona kolo
(Mmhyeeiee mmhyeeie)
Siri ya Penzi ni kushikana
Mimi na we baby kupendana
Tukikosea kusameheana
Kwenye makosa kuambilizana baby eeh
Tusilivunje Penzi
Upepo ukazoa likaenda na sunami iyee iyee iyee
Chorus
Usije basi ukaniacha solo
(Mapenzi nayajua aaaah)
Mwenzio mimi wataniona kolo
(Wanisema nitaumia)
Usije basi ukaniacha solo
(Presha itasumbua mama uuyee aah)
Mwenzio mimi wataniona kolo
(Mmhyeeiee mmhyeeie)